Showing posts with label ELIMU. Show all posts
Showing posts with label ELIMU. Show all posts

March 28, 2018

March 23, 2018

Jifunze Namna Ya Kuzungumza Na Daktari Wako


Related image
Kati ya makosa makubwa yanayofanywa na wagonjwa ni kutosema ukweli kwa watoa huduma wa afya. Sababu kubwa ya kutosema ukweli ni kujionea aibu. Mara nyingi wanaona wakisema ukweli kuhusiana na kitu kinachomsumbua ataadhirika.

Share:

September 23, 2016

August 3, 2016

Kipimo Cha Mimba Cha Nyumbani

Image result for upt test

Kipimo cha mimba cha nyumbani ni rahisi sana kukitumia wewe mwenyewe kwa wakati wako ikiwa unajihisi umjamzito au kuhisi mwenzi wako ana ujauzito.
Share:

June 4, 2016

Sababu ya Moyo Kupanuka


Moyo kupanuka au kuwa mkubwa ni tatizo ambalo huathiri utendaji wa mfumo wa usambazaji damu mwilini. Ni hali inayosababishwa na ukinzani wa moyo jinsi unavyotoa na kuingiza damu katika mishipa ya moyo na kuelekea sehemu mbalimbali za mwili.
Share:

January 12, 2016

Mambo Muhimu Ya Uchunguzi Afya Kwa Mwanaume

 
Madaktari huunganisha habari unayotoa kutoka kwenye dalili unazohisi, historia ya maradhi yaliyowahi kukusumbua, uchunguzi wa mwili wako pamoja na kufanyiwa vipimo ili kugundua maradhi au hatari ya kupata maradhi fulani kama kisukari.
Share:

August 16, 2015

August 9, 2015

July 6, 2015

Hii Ndio Orodha Ya Vipodozi Vinavyotambuliwa Na Mamlaka Ya Chakula Na Dawa (Tfda)

Tfda inapenda kuwafahamisha watengenezaji, waagizaji, wauzaji na wananchi kwa ujumla kuwa, kwa mujibu wa kifungu cha 88 (a) cha sharia ya chakula, dawa na vipodozi sura 219, inakatazwa kutengeneza, kuuza au kusambaza vipodozi vyenye viambato (ingredient) vyenye sumu ambavyo huleta athari kwa mtumiaji.
Share:

May 12, 2015

April 21, 2015

Umuhimu wa Maji ni muhimu mwilini.

Kunywa maji ni tendo ambalo watu wengi hulifanya pale wanapohisi kiu. Wengine hutumia vinywaji mbalimbali kama vile juisi au soda ili kutuliza kiu. Wataalamu wanashauri matumizi ya maji kwa kutuliza kiu na hata kwa kunywa polepole kwa lengo la kuufanya mwili usikose maji.
Share:

April 19, 2015

Hasara za Matumizi Ya Tumbaku

Mtu anayevuta sigara huingiza aina mbalimbali za kemikali kwenye mdomo, pua, koo na pia mapafu. Uchunguzi uliofanywa unaonyesha kuwa, kemikali ya nikotini,
ni miongoni mwa zile zenye sumu, ambayo husambaa kwa kasi kubwa sehemu mbalimbali mwilini na kusababisha madhara. 

Share:

April 7, 2015

Siku Ya Afya Duniani 2015 Ni Usalama Wa Chakula

Zaidi ya Magonjwa 200 husababishwa na chakula kisicho salama kinachokuwa na kina vijidudu vinavyoweza kudhuru afya ya binadamu kama bakteria, vimelea, virusi na dutu kemikali. Na watu milioni 2 Inakadiriwa duniani hufa kila mwaka kutokana na chakula kichafu au maji ya kunywa yasiyo safi na salama.

Share:

April 5, 2015

Agizo La Kuzuia Uvutaji Wa Sigara


Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inachukua hatua mahsusi katika kuzuia matumizi ya bidhaa za tumbaku katika maeneo ya umma nchini kote.  Agizo hili limezingatia utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa
Bidhaa za Tumbaku, Sura ya 121 T.L 2002, ya Sheria za Tanzania, Kipengele cha 12(1) ambacho kinakataza matumizi ya tumbaku .4 katika maeneo ya umma.
Share:

March 19, 2015

Albino ‘Watu Wenye Albinism’

NENO albino linamaanisha mtu mweupe, linatokana na neno la lugha ya kilatini ‘albus’ lenye maana eupe, likitumika katika kueleza hali ya kundi la viumbe hai ambao wana upungufu wa ukosefu wa rangi katika ngozi, macho na nywele.
Share:

March 15, 2015

Mazoezi ya kuondoa kitambi

Kutokuwa na kitambi ndio ndoto ya watu wengi kwa sasa wanaojali afya zao. Kutokana na kufumka kwa maradhi mbalimbali baadhi ya watu wamekuwa wakihangaika kutafuta njia rahisi za kupunguza ama kuondoa vitambi hivyo na uzito uliopitiliza.
Share:

February 5, 2015

Fahamu Kuhusu VIRUSI

Virusi ni vijidudu vidogo sana kiasi kwamba huingia karibu mara 100 katika seli moja ya mwili wa binadamu. Virusi husababisha magonjwa mbalimbali ya binadamu, wanyama na mimea. Virusi vinaweza kusababisha magonjwa ya kuambukiza na baadhi ya magonjwa ya saratani.
Share:

January 24, 2015

January 21, 2015

January 19, 2015