Kuhusu MimiHabari,
jina langu ni Sayi Manyanda,
Mimi ni mtaalamu wa Sayansi ya afya ya mazingira.Navutiwa katika uendelezaji na ukuzaji wa Afya kwa mtu binafsi na kwa umma.
Napenda katika kuBlog, kujadili masuala ya afya.


Masuala ya kijamii kushiriki uzoefu, kujifunza na kubadilisha taarifa na ujuzi tofauti tofauti kupitia Mawasiliano hususani katika nyanja hii ya afya,
jiunge na mimi juu ya hii blog na kwa pamoja tufurahie maisha kwa njia ya elimu hii ya Afya, Furahia Afya yako.

Karibuni sana!