Breaking News

September 23, 2016

Magonjwa Ambayo Yanahusiana Na Kinyesi

Magonjwa yanayohusiana na kinyesi ni pamoja na ugonjwa wa kuhara, Kipindupindu, minyoo ya safura, homa ya matumbo (taifodi), na amiba.