Breaking News

August 22, 2015

Ugonjwa Wa Kipindupindu

Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na  kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “Vibrio cholera”.

August 16, 2015

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MGONJWA WA UGONJWA WA KUTOKWA DAMU MKOANI KIGOMAUtangulizi

Ugonjwa wa Ebola umeendelea kuenea katika nchi za Afrika ya Magharibi ambapo hadi sasa nchi tatu ambazo ni Guinea, Liberia na Siera Leone, zimeendelea kutoa taarifa za wagonjwa wapya.

August 9, 2015

Vinywaji Vya Kutia Mwili Nguvu, Vina Athari Za Kiafya

Wengine, hasa madereva, hupenda kutumia vinywaji hivi ili kuondoa uchovu na kuwafanya wasipate usingizi. Hufanya hivyo ili wasisinzie na kusababisha wasababishe ajali.