Breaking News

May 12, 2015

Kupumzika Kunasaidia Kukabili Upungufu Wa Nguvu Za Kiume

Wanaume hufanya kazi zaidi na kutembea umbali mrefu zaidi ukilinganisha na wanawake, hivyo hutumia nguvu nyingi kufanya mambo haya, hali inayomletea uchovu mkali wa mwili. 

May 7, 2015

MADHARA YA MATUMIZI YA MIRUNGI KIAFYA

  Mtumiaji wa mirungi yupo katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo.
- Kupungukiwa msukumo wa kufanya tendo la ndoa (low sex drive) na pia kuwahi kumaliza haraka na kutoweza kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda mrefu.

May 3, 2015

Jinsi Ya Kupunguza Ulaji Sukari.

Ulaji wa sukari kupita kiasi unahusishwa na kuongezeka kwa unene, uzito kupita kiasi, ugonjwa wa kisukari cha ukubwani (aina ya pili), magonjwa ya moyo, baadhi ya saratani, kuoza kwa meno na ugonjwa wa ini. 
Katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, siyo rahisi kufanya tafiti zinazoonyesha kiasi cha sukari anacho kula mtu kwa siku.