February 26, 2015

Faida za Kula EMBE Kiafya

EMBE ni tunda la mwembe ambao ni mti wenye ukubwa wa wastani una rangi ya kijani kibichi kila wakati. Kabla ya kuzaliwa embe mti huu huwa na maua ya rangi ya waridi hadi nyeupe katika vishada vya maua na msimu wake ni kati ya Desemba hadi Aprili.
Tunda la embe umbo lake hutofautiana, 
Share:

February 25, 2015

Faida za NANASI

KATIKA msimu wa nanasi, huna sababu za kwa nini usile mananasi kwa wingi. Faida zinazoweza kupatikana kwenye nanasi ni nyingi ambazo zinaweza kuwa kama kinga na tiba kwa baadhi ya matatizo ya kiafya ambayo pengine yangehitaji mtu kwenda hospitali kupatiwa dawa, tena kwa gharama kubwa.
Share:

February 12, 2015

February 11, 2015

Tatizo la kutopata Ujauzito /Mimba

Mtu anaposema tatizo la kutopata ujauzito, ana maana mume na mke walio katika uhusiano wa kutafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini wameshindwa.

Inaweza ikawa zaidi ya mwaka mmoja lakini wastani wa kiwango cha chini ni mwaka mmoja.
Share:

February 8, 2015

February 5, 2015

Fahamu Kuhusu VIRUSI

Virusi ni vijidudu vidogo sana kiasi kwamba huingia karibu mara 100 katika seli moja ya mwili wa binadamu. Virusi husababisha magonjwa mbalimbali ya binadamu, wanyama na mimea. Virusi vinaweza kusababisha magonjwa ya kuambukiza na baadhi ya magonjwa ya saratani.
Share: