January 31, 2015

Athari Za Utapiamlo

Utapiamlo ni ugonjwa unaoathiri kukua kwa mwili na akili ya mtoto. Idadi ya watoto wanaopata ugonjwa huo hapa nchini inakadiriwa kuwa asilimia 42 huku ikiwa inahofiwa kuongezeka ambapo mara nyingi huwapata watoto wenye umri chini ya miaka 18. 
Share:

January 24, 2015

January 23, 2015

Faida ya nyanya Chungu

Wengi tumekuwa tukitumia kama mboga au kiungo kimoja wapo katika kunogesha mboga lakini wachache mno wanaojua faida za nyanya chungu kiafya.
Share:

January 21, 2015

January 19, 2015

January 15, 2015

January 12, 2015

Mazoezi na lishe kwa anayeishi na VVU

Mtu anayeishi na VVU, si kwamba hana afya bali anahitaji mazoezi zaidi ili kuupa mwili nguvu na ukakamavu. Ugonjwa wa UKIMWI kwa sasa si wa kutisha sana kama ilivyokuwa miaka michache iliyopita. 
Share:

January 11, 2015

Jinsi ya kumsaidia mgonjwa wa ajali ya kuungua moto

Kuungua kwa watoto kwa moto ni moja ya ajali zinazotokea sana mara kwa mara na huwakuta wakiwa majumbani mwao. Asilimia 70 ya kuungua kwa watoto huwa ni wao wenyewe ndio hujitumbukiza katika ajali hizi pasipo kujijua au kudhamiria.
Share:

January 6, 2015

Matumizi holela ya dawa za maumivu


Binadamu anakabiliwa na shughuli mbalimbali katika kuboresha na kuwezesha upatikanaji wa kipato. Katika pilika hizo anaweza kujikuta akikabiliwa na maumivu ya hapa na pale mwilini. 
Share:

Faida ya Kula spinachi na viazi

Imebainika kuwa ulaji wa matunda na mbogamboga zenye kimeng’enyo cha carotenoid kwa wingi kama vile karoti, spinachi, tikitiki maji na hata viazi vitamu, unaweza kuondoa katika
Share:

January 5, 2015

Jinsi ya kuepuka Ugonjwa wa KISUKARI

Kisukari Ni Nini?
Kisukari ni ugonjwa unaotokana namtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati.
Share: