October 30, 2014

October 29, 2014

Maana ya chanjo!

Chanjo ni kitu kilichotengenezwa kitaalamu kwa mbinu za kibiolojia ili  kuupa mwili kinga dhidi ya maradhi, huwa na chembe chembe zinazofanana sawa na vimelea vinavyosababisha maradhi hayo.

Share:

October 28, 2014

October 27, 2014

Miwani hatari

Mitaani kuna miwani ya aina nyingi inayouzwa lkienyeji na watu wengi wamekuwa wakiinunua na kuivaa kama urembo au kupunguza makali ya miale ya jua. Kuna wengine huvaa pia ili watu wasiwatambue.
Share:

October 26, 2014

Chanzo cha kondomu

Kondomu ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uuume au ukeni wakati wa kujamiiana. dk. condom alifahamika kama mgunduzi wa kwanza wa kondomu
Share:

October 21, 2014

Faida ya Choroko kwa afya

Je wewe ni miongoni mwa wapenzi wa choroko? Kama unatumia utakuwa miongoni mwa wanaofaidika na virutubisho muhimu kwa afya mwilini.
Wataalamu waliofanya uchunguzi kuhusu choroko ambayo ni jamii ya kunde,
Share:

October 20, 2014

Umuhimu wa dagaa kwa afya yako!

Kwa imani ya watu wengi, dagaa ni kitoweo cha kimaskini, huonekana kuwa kununua dagaa sokoni au ‘super market’ kwa ajili ya kitoweo, ni dalili ya muhusika kuishiwa au kuwa na bajeti ndogo.
Share:

October 15, 2014

Faida ya unyonyeshaji maziwa ya mama

Unyonyeshaji wa maziwa ya mama ni njia mojawapo ya mafanikio makubwa kabisa ya kufanikisha na kuhakikisha afya ya mtoto anaishi vyema.

Kama kila mtoto alienyonyweshwa maziwa ya mama kwa ndani ya saa moja toka azaliwe,
Share:

October 14, 2014

Hatari kwa watu wasiopata kifungua kinywa

Kuna baadhi ya watu wanashangaa kuwa licha ya juhudi za za makusudi za kuacha kula asubuhi ili wapungue unene na uzito kupita kiasi, hawafiki lengo lao. Kibaya zaidi wanaongezeka uzito na unene kupita kiwango kizuri kiafya.
Share:

October 12, 2014

October 7, 2014

Mchunguze anayekuhudumia chakula

Afya ya binadamu ni suala muhimu sana ambalo kila mtu anapaswa kulipa kipaumbele iwapo anataka kuishi maisha marefu. Kuishi bila kuuhua mara kwa mara siyo tu kuimarisha ubora wa mwili na akili,
Share:

October 3, 2014

Maana ya ngono salama ?

Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa yatokanayo na kujamiina pamoja na VVU. Mapenzi salama yanajumuisha kupunguza idadi ya wapenzi,
Share: