September 28, 2014

Maana ya kufanya ngono salama


Kuchukua hatua rahisi ili kuzuia kupata au kueneza Virusi Vya Ukimwi hii itakusaidia kwa wote kwa ajili yako na kwa yule umpendae. Kwa asilimia 100 njia ya kuzuia maambukizi ya VVU kwa njia ya ngono ni kujiepusha nayo - kwa  maana kwamba kuacha kufanya ngono ya aina yoyote.
Share:

September 22, 2014

September 10, 2014

September 7, 2014

Magonjwa ya zinaa na athari zake wakati wa ujauzito

Magonjwa ya kujamiiana au ya zinaa ni yale ambayo kwa kawaida huenezwa kwa njia ya uhusiano, hata hivyo, mara nyingi hii huhusisha masuala ya ngono, lakini kitaalamu yanajumuisha pia kugusana kwa miili kwa karibu, kupigana busu na kufanya ngono kinyume cha maumbile.
Share:

September 5, 2014

Faida azipatazo mama anayeyonyesha mtoto

Shirika la afya duniani (WHO) linasisitiza mama kumnyonyesha mtoto kwa kipindi cha miezi sita bila kumwanzishia vyakula vingine.
          WHO inaeleza kuwa baada ya miezi sita mama anaweza  kumwanzisha vyakula vingine mtoto wake huku akiendelea kumnyonyesha maziwa ya mama angalau mpaka atakapofika umri wa miaka miwili au ziadi.
          Pia, mtoto anyonyeshwe saa moja baada ya kuzaliwa, anyonyweshwe pale anapohitaji mara nyingi kwa kadri anavyohitaji usiku kwa mchana na mama anashuriwa kutotumia chupa kumpa maziwa mtoto.

Share:

September 3, 2014

Matumizi sahihi ya dawa jamii ya antibiotic

Kijiuasumu kisipotumiwa vizuri chaweza kudhuru afya yako.
Vijiuasumu (antibiotic) ni moja wapo ya dawa muhimu zinazotumika mara kwa mara katrika kutibu maognjwa mbalimbali hasa yatokanayo na vimelea. Dawa hizi hutibu magonjwa kwa ama kuua bakteria au kuounguza uwezo wake wa kuzaliana.
Share:

September 2, 2014

Madhara ya matumizi ya vipodozi vyenye viambato vyenye sumu


1.      Moja kati a viambato vilivyopigwa marufuku kutumika kama kipodozi ni aina ya “steroids” ambazo kimsingi ni dawa, mfano wa viambato hivi ni pamoja na “Clobetasol” na “Betamethosone” zinazopatikana katika dawa aina ya MOVATE, BETACIRT-N, DIPROSON, GENTRISONE, n.k
Share:

September 1, 2014