MTOTO mwenye afya analala akiwa ametulia mikononi mwa
mama yake. Baba yake amefurahi sana. Kwa kuwa tukio hilo lenye kuleta shangwe
hutukia mara nyingi sana kila mwaka, ni rahisi kuona kwamba kujifungua mtoto ni
jambo la kawaida tu. Kwa kweli, hilo ni tukio la kiasili—kwa hiyo, kwa nini mtu
awe na wasiwasi?
Meno ya mtu mzima yanapaswa kudumu muda wote wa maisha yake. Yanapaswa kutunzwa vizuri. Mbali na kutafuna chakula na kukusaidia kuzungumza kwa njia nzuri, meno yako hutegemeza midomo na mashavu yako na hivyo kuboresha tabasamu yako na kuifanya ivutie. Kwa kweli, meno yako ni muhimu sana!
ANIL alikuwa amechoka kupita kiasi. Alikuwa amepata kazi mpya,
nzuri, na yenye mshahara mnono. Lakini alilazimika kufanya kazi hadi usiku na
wakati mwingine mwisho-juma, nyakati nyingine saa 80 kwa juma
KULINGANA na Hazina ya Umoja wa Mataifa ya Idadi ya
Watu, zaidi ya wanawake nusu milioni hufa kila mwaka kutokana na matatizo
yanayohusiana na mimba. Isitoshe, Shirika la Umoja wa Mataifa la Hazina ya
Watoto linasema kwamba kila mwaka zaidi ya wanawake milioni 60