July 30, 2014

Faida za Kifungua kinywa kwa binadamu

WATU wengi wanashindwa kula chakula mara wanapoamka kutoka kitandani. Kikombe kimoja cha haraka cha kahawa ndio kifungua kinywa chao. Idadi ya watoto waendao shule asubuhi wasiopata kifungua kinywa ni kubwa na inazidi kuongezeka.
Share:

July 26, 2014

Mwanaume chanzo cha mwanamke kutoa mimba

 Dhumuni la makala hii ni kuonyesha jinsi wanaume wanavyo wasababishia wasichana kutoa mimba baada ya kuwatelekeza na kuwanyanyasa. KAMA ilivyo kawaida, katika makala hii tunaanza na kishtua mada ili
kupata ujumbe fulani wenye maana.
Share:

July 20, 2014

Namna ya kutunza afya ya akili na mwili wako

Afya ni hazina ya pekee inayotufanya tuishi
kwa raha. Akili pia ni kitu muhimu
kinachoendesha utendaji kazi wa mambo
mengi katika miili yetu. Hatuwezi fanya
jambo lolote la maana ikiwa hauna afya
njema ndio maana ni muhimu kutunza afya
zetu ili tuweze kuendelea kuishi vizuri na
kuendelea kufanya shughuli za kujenga taifa.
Share:

July 19, 2014

July 17, 2014

Hatua za kujifungua mtoto

HATIMAYE, baada ya kusubiri kwa miezi tisa, siku imefika na mtoto aliyekuwa akitarajiwa kwa hamu anakaribia kuzaliwa. Kwa muda mrefu, mlango wa tumbo la uzazi la mama mjamzito umefungwa kabisa ili kumlinda mtoto aliye tumboni. Lakini sasa misuli ya mlango huo inalegea na kufunguka. Muujiza wa kuzaa unaanza.
Share:

July 16, 2014

Jinsi ya kuboresha usingizi wako

MATATIZO YA KUKOSA USINGIZI yamekuwapo tangu zamani.
Leo mamilioni ya watu hawapati usingizi wa kutosha. Kulingana na mtaalamu wa usingizi kutoka Brazili Rubens Reimão, inakadiriwa kwamba asilimia 35 ya watu ulimwenguni wana ugonjwa wa kukosa usingizi.* Dakt. David Rapoport wa Kituo cha Matatizo ya Usingizi katika Chuo Kikuu cha New York alisema kwamba kukosa usingizi ni “mojawapo ya magonjwa mabaya sana mwanzoni mwa karne ya 21”
Share:

Umuhimu na Faida za Usingizi


WATU FULANI HUDHANI kwamba kulala usingizi ni kupoteza wakati. Wao huwa na shughuli nyingi za kibiashara na kirafiki kila siku, na hulala tu wanapokuwa wachovu sana. Kwa upande mwingine, wengine hutamani sana kupata usingizi mtamu lakini hujigeuza-geuza kitandani hadi asubuhi.
Share:

Mambo ya kuzingatia iwapo unataka kushika mimba

Mayai ya mwanamke ni mojawapo ya viungo ambavyo vimeshatengenezwa kabla hata mwanamke hajazaliwa, yaani tangia akiwa fetus ndani ya tumbo la mama yake.
Haya mayai yanakuwa tayari pale msichana anapopata menstruation yake ya kwanza average ya miaka 12 hadi 14.
Share:

July 15, 2014

Mambo sita ya kutunza afya yako

NI VIGUMU kudumisha usafi hasa katika nchi ambazo hazina maji safi ya
kutosha wala huduma za kuondoa maji machafu na takataka. Hata hivyo, kuna faida za kudumisha usafi. Inakadiriwa kwamba zaidi ya nusu ya magonjwa na vifo vya watoto wachanga husababishwa na viini vya magonjwa vinavyoingia mwilini kupitia mikono michafu, au wanapokula chakula chenye viini au kunywa maji machafu.
Share:

July 14, 2014

Faida za kiafya za kunywa maji ya moto

NJIA SITA ZA KUNYWA MAJI YA MOTO ZINAZOTIBU MWILI WAKO.
Kunywa kikombe kimoja cha maji ya moto kila asubuhi inaweza kukutibu mwili wako kwa kusaidia umeng’enywaji wa chakula na kuzuia kuzeeka mapema kabla ya wakati.
Share:

July 13, 2014

Aina saba za matatizo ya kusahau

1. KUSAHAU KWA MUDA MFUPI (TRANSIENCE)
Hii ni hali ya kusahau habari au matukio fulani yaliyopita. Tatizo hilo humfanya mtu asahau habari ambayo ameipata muda mfupi. Hata hivyo, habari ambayo mtu atakuwa haihitaji kuitumia mara kwa mara ni rahisi kuisahau.
Share:

July 12, 2014

Ukweli kuhusu uzazi wa mpangoUzazi wa mpango ni nini?
Uzazi wa mpango ni maamuzi ya hiari ya mtu au wenza juu ya ni wakati gani waanze kuzaa, watoto wangapi wazae , wapishane kwa umri gani na lini waache kuzaa.

Share:

Madhara Ya Kutofanya Mazoezi.ya mwili

“Fanya mazoezi mara mbili kwa juma ili uwe na afya nzuri. Fanya mazoezi dakika 30 kwa siku. Epuka kileo ili kuzuia kansa. Tumia kile ili kupunguza hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo. Je, unahisi kwamba
kuna mashauri mengi sana mazuri? 
Share:

July 11, 2014

Ulaji bora wa chakula bora kwa mtoto


Hakikisha mwanao anakula kwa mpangilio. Unashauriwa pia kumfundisha jinsi ya kunywa maji na umuhimu wake kiafya. Ikiwa haya yote yatafanyika ni wazi kuwa atakuwa na tabia ya kula chakula bora, tena chenye virutubisho muhimu kiafya.
Share:

July 7, 2014

July 5, 2014

July 3, 2014

Faida kumi za kufanya mapenzi kiafyaKufanya Ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili yenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi ufahamu faida hizi za kushangaza.

Share:

July 2, 2014