June 30, 2014

Ugonjwa wa kansa Tanzania.

Saratani/kansa imewekwa katika kundi la magonjwa ya hatari kwa uhai wa watu yanayoundwa na mkusanyiko wa magonjwa 100 duniani, Tanzania ikiwamo.
Share:

June 29, 2014

June 28, 2014

Umuhimu wa kuchemsha maji


Kuchemsha maji ya kunywa ni
jambo linalohimizwa na
wataalamu wa afya hasa katika
nchi masikini kama Tanzania
ambako karibu nusu yawananchi
wake wanaoishi vijijini hawapati
maji safi na salama.

Wengi tunakunywa maji katika
maisha yetu kila siku. Lakini,

Share:

June 12, 2014

June 11, 2014

June 3, 2014

Taarifa ya ufuatiliaji wa ugonjwa wa homa ya dengue


WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII


TAARIFA YA UFUATILIAJI WA UGONJWA WA HOMA YA DENGUE
1.    UTANGULIZI
Mnamo tarehe 27 Januari 2014, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ilipata taarifa za kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya dengue katika Kliniki ya ‘International School of Tanganyika’ iliyopo Manispaa ya Kinondoni katika jiji la Dar es Salaam. Taarifa hiyo ya awali ilionyesha kuwepo kwa jumla ya wagonjwa 6 katika kituo hicho bila vifo.
Share: