May 15, 2014

May 10, 2014

Taarifa kwa umma kuhusu ugonjwa wa homa ya dengue “dengue fever”.


Utangulizi

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa  kwa umma juu ya kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.  Ugonjwa huu umethibitishwa  baada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huu jijini Dar es salaam kupelekwa kwenye maabara yetu iliyopo katika Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya
Share: