March 30, 2014

Mwanamke hupevuka kiakili mapema kuliko mwanaume

Ukuaji wa ubongo wa mtoto wa kiume na wa kike ni tofauti sana. Msichana akili yake huanza kukua kumzidi wa mvulana ndani ya miezi mitatu ya mwanzo tangu kuzaliwa. Katika uchunguzi wa wazazi watagundua kwamba pindi wanapolea mtoto wa kike husogea haraka zaidi kuliko wakati wa

kulea mtoto wa kiume," anasema Tuzie.
Share:

March 15, 2014

Homa ya ini (hepatitis b) duniani, chukua hatua


Virusi vya Hepatitis baada ya kulishambulia ini.
Ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu. Virusi hivyo vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus).
Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini, mfano mate au jasho.
Share:

Faida Kumi (10) Za Kula Ukwaju!
Unatakiwa ujaribu kuweka
ukwaju karibu katika kila mlo
wako kwa kila siku kwasababu
ukwaju una faida nyingi kiafya
ambazo hakika zitakufanya uwe
na afya njema au kukuimarisha
afya yako kiujumla

Watu waishio bara la Asia,
Carribian na America ya kusini
wanajua kuwa kula ukwaju
maana yake ni Afya Njema.


Ukwaju unaoliwaa katika maeneo
haya maeneo hayo una faida
nyingi kwa watu wanaoula.

Kwa hiyo siku nyingine unapoenda
kufanya manunuzi ya vyakula
hakikisha unanunua na ukwaju.
Ukwaju ni zao la rangi ya kahawia
ambalo limefungwa na kasha
gumu.

Share:

March 9, 2014

Faida nane (8) kuu za vitunguu!
Usijali machozi yanayoletwa na
vitunguu, vitunguu ni kama karata
dume katika kupigana na
magonjwa. Ni mmea mahiri katika
familia ya lily, vinakupa faida
nyingi kiafya pia yaongeza ladha
nzuri katika chakula chako.
Share:

Faida za kula maharage!

Maharage ni chakula cha bei
nafuu na ni chakula chenye
protini  nyingi yenye faida. Tumia
maharage kwenye kachumbari,
supu, mchuzi, kande, mboga ya
ziada au yafanye kama mafuta
mbadala katika vyakula vya kuoka.
Share:

March 7, 2014

Mambo muhimu ya kuzuia U.T.I kwa watoto.

Ugonjwa wa mfumo wa mkojo kitaalamu urinary tract infection(UTI) umekuwa
ukisumbua watu wengi. Vimelea vinavyosababisha ugonjwa katika mfumo wa mkojo hukua na kusambaa endapo kinga ya mwili inakuwa ndogo hivyo makundi yaliyo katika hatari ya magonjwa
haya ni watoto chini ya miaka mitano,

Share:

Jihadhari kiafya dhidi ya matumizi ya pesa

Wataalamu wa afya na tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa fedha hasa sarafu zina madhara kwa afya ya binadamu kutokana na mzunguko wake ulivyo mkubwa.
Kwa mfano, tunaambiwa kuwa fedha inatembea kuliko pengine anavyotembea mtumiaji wake. Haichagui wa kuitumia,
Share:

Sababu za kutoka harufu mbaya ukeni na namna ya kujikinga


Wanawake na watu wengi huzani kuwa harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchavu na kutojisafisha vizuri.  Matokeo yake huongeza jitihada katika kujisafisha bila mafanikio ya kuondokana na tatizo hili. Kihalisi, badala kusuluhisha. unapojisafisha zaidi ni unaongeza tatizo badala ya kutatua.
Share:

March 3, 2014

Madhara ya kutokunawa mikono


Nikiwa nimeketi mkononi nimeshika
kitafunwa nilichokarimiwa tayari kuanza
kula, nikainua macho na kuangalia mbele
yangu na ghafla nikakutana na maandishi
kwenye kioo cha kompyuta yakihamasisha;
Ongeza ufahamu kuhusu faida za kunawa
mikono kwa sabuni."
Share: