Breaking News

January 22, 2014

Umri mzuri kwa mwanamke kupata mtoto (kuzaa)

Tamaa ya kutaka kufanikiwa maishani
imeenea duniani kote. Hali imebadilika sana,
jinsia ya kike inataka kujitosheleza kwa kila
kitu. Lakini mabadiliko ya kibaiolojia
yanabaki vile vile mfano kuzeeka nk.

January 18, 2014

Kupima VVU na kupata majibu

Swali: Je kama nimejamiiana na
mtu mwenye VVU na
nikaambukizwa je, naweza kupima
na kupata majibu siku hiyo hiyo
niliyojamiiana?

January 2, 2014

Siri za kiafya za kuishi maisha marefu

Watafiti wa nchini Israel walibaini
kuwa, mtu anayekunywa chai mara
kwa mara ana uwezo wa kuishi
muda mrefu tofauti na yule
asiyependa chai.