November 27, 2013

Dawa, kemikali zinavyosababisha watoto kuzaliwa na viungo visivyokamilika


Dawa zinazoleta madhara si zile
zinazotumika mara kwa mara, lakini kwa
bahati mbaya wapo wanawake
wanajigundua kwamba wamebeba ujauzito
na hawa wanajikuta wakitumia dawa hizo
ambazo mwishowe zinawaletea madhara
katika ujauzito na hawezi kugundua mpaka
atakapojifungua japokuwa wapo ambao
mimba zao huharibika.

Share:

Madhara ya utunzaji mbovu wa mswaki

Wengi hawazingatii utunzaji wa kifaa hiki
muhimu katika usafi wetu wa kila siku.
Mswaki wako umejaa vijidudu
visivyoonekana kwa macho (bakteria) hiyo
ni kwa mujibu wa watafiti kutoka Chuo
Kikuu cha Manchester Uingereza.
Share:

November 1, 2013

Ugonjwa wa kisonono (gonorrhea)


Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya
zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya
Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao
hukua na kuzaliana kwa haraka katika
sehemu zenye unyevunyevu na joto
mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa
wanawake (cervix), mirija ya kupitisha
mkojo au shahawa (urethra), mdomoni na
kwenye puru. 
Share: