Breaking News

October 28, 2013

Wasichana waelimishwe kukwepa mimba za utotoni


Wanafunzi mabinti wanapopata mimba
hulazimika kukatiza masomo na ndoto zao
za kufanikiwa kupitia elimu huzimika.
Mimba za utotoni ni matukio yanayoelekea
kuzoeleka na kuchukuliwa kuwa ni ya
kawaida.

October 27, 2013

Usijisahau na kuridhika na taarifa za watafiti wa vvu.


Miezi michache iliyopita kulijitokeza taarifa
kupitia magazeti,
Baadhi ya vyomba vya habari kama radio,
mitandao ya kijamii vya kila siku kuwa
Wanasayansi wanaojihusisha na tafiti za
kutafuta tiba na chanjo ya Ukimwi

October 26, 2013

Dalili za Mwanzo kugundua kama unaujauzito(mimba)


MWANAMKE anapopata ujauzito kwa kawaida
huwa anaanza kuona dalili ambazo si za
kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka
kwake kuanza kuuchunguza mwili wake

October 25, 2013

Saikolojia inavyotatua tatizo la mwanaume kufika kileleni mapema!


Miongoni mwa matatizo makubwa
kabisa yanayowakabili wanaume katika
suala la kujamiiana ni kufika kileleni
mapema. Takwimu zisizo rasmi
zinaonesha kuwa, wanaume saba kati
ya kumi wanakasoro hii.

October 22, 2013

Faida za Kitoweo Samaki kiafya

Si wengi wetu wanaofahamu umuhimu wa kula samaki mara kwa mara na jinsi kitoweo hiki kilivyo na umuhimu wa kipekee katika afya ya binadamu
Samaki ni kitoweo ambacho kinatajwa na hata kupendwa na wengi, binadamu au wanyama.

October 21, 2013

Maumivu ya kichwa au kuumwa kichwa


Ni kweli kwamba hakuna katika jamii mtu
ambaye hajawahi kupatwa na ugonjwa
huu. Unapoumwa kichwa mara kwa mara,
angalia sababu zifuatazo-

October 20, 2013

Vyakula ambavyo si vizuri kula wakati wa kwenda kulala

Imekuwa ikidhaniwa kuwa unene wa mwili ni kufanikiwa kiuchumi au kuukata, kumbe sivyo.  Uchunguzi wa kitaalamu unaonyesha kuwa watu wanene wapo katika hatari ya kupata maradhi ya kiharusi, kisukari na ugonjwa wa moyo.

Ugonjwa wa ini / hepatitis B na chanjo yake

Hepatitis B ni nini?
Ni ungojwa wa ini unaosababishwa na uambukizo wa virusi vya hepatitis         B. Mtu anapopata uambukizo, virusi huvamia ba kuanza kuathiri chembechembe hai za Ini.

October 19, 2013

Madhara ya chumvi za mezani kiafya


Chumvi ni muhimu sana kwa mwili wa mwanadamu kwa kuwa huwa na kiambata kiitwacho sodium ambacho ni muhimu kwa kazi za kimwili. Kikemikali, chumvi imebeba sodium chloride, ndani yake takriban asilimia asilimia 40 kati ya hizo ni sodium.

October 18, 2013

fahamu ukweli wa vitamini A na minyoo

 VITAMINI A NI NINI?
Vitamini A ni moja wapo ya virutubisho muhimu katika kipindi chote cha masiha ya binadamu. Vitamini A huhitajika mwilini kusaidia macho kuona vizuri, ukuaji na maendeleo ya mtOto na kuimarisha kinga ya mwilini dhidi ya maradhi mbalimbali.

Ufumbuzi wa kisaikolojia wa tatizo la ugumba.

Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa
nyingi zimepoteza furaha kutokana na
watoto kukoseka miongoni mwa
wanandoa.

October 17, 2013

Mambo 10 kuhusu afya ya meno yako.

watu wengi huwa na hofu ya sintofahamu
hasa wanapofikiria kwenda kumwona
daktari wa meno. mambo 10 yafuatayo
yatakusaidia sana kufahamu nini utarajie
unapokwenda kufuata

Kinga ya mwilini muhimu

Kinga ya mwili ni muhimu sana katika mwili
wa mwanadamu. Inapokuwa sawa
inatusaidia miili yetu kuishi bila magonjwa
yatokanayo na uambukizi wa virusi na
bakteria.

Tatizo la harufu mbaya ukeni


Tatizo la uchafu ukeni
Leo tutazungumzia tatizo linalowasumbua
wanawake wengi, tatizo la kutokwa na
uchafu unaotoa harufu mbaya sehemu za
siri. Kitaalamu hali ya mwanamke kutokwa
na majimaji yenye rangi nyeupe au ya
njano, 


October 16, 2013

Tatizo la mimba kuharibika.

Maana ya mimba kuharibika
Sababu, Dalii zake na nini ufanye baada ya mimba kuharibika.
Sikiliza/Soma  ushauri na chukua hatua madhubuti.
Elimika Sasa.

Tiba/ushauri juu ya fungus


Fungus ya kuwasha sehemu za siri ndio
inayojulikana sana hasa kwa vijana wa kati
ya miaka 15 hadi 35.

TIBA NA USHAURI:
Kwanza,Hakikisha sehemu husika
inakuwa kavu masaa 24.

Faida za kunywa maji Mengi

Watanzania wengi wameanza kuonekana wamebeba chupa za maji maeneo mengi wakiwa mtaani wakitembea siku hizi. Kiukweli, Maji yanashika nafasi ya pili kama kinywaji pendwa baada ya vinywaji laini hususani soda na juisi.

October 15, 2013

Ugonjwa Bawasiri


Bawasiri ni neno fasaha la Kiswahili ambalo wengi hawalifahamu, lakini ni vyema katika kukuza lugha yetu kuanza kulizoea na kutumia  neno hili na msamiati wa tiba ambao kitaalam huitwa haemorrhoids au kwa Kiingereza, piles.

Kujisikia chefu chefu na kutapika wakati wa ujauzito


Nusu ya wana wakewote wajawazito hupatwa na tatizo la kujisikia kichefuchefu na kutapika, ni moja wapo ya dalili kuu za ujauzito.

October 14, 2013

Tatizo la kipindupindu chanzo ni uhaba wa vyoo


KWA wale wenzangu na mie ambao ama
wamewahi au wanaendelea kuishi katika
vyumba vya kupanga katika maeneo yetu ya
Uswahilini, bila shaka wanazielewa ipasavyo
adha wanazozipata na hususan pale

Madhara ya choo cha kukaa

Waswahili husema, ‘nyumba ni choo’, wakiwa na maana kuwa nyumba haiwezi kuwa kamili bila kuwa na huduma hiyo ya choo.

Hata hivyo, pamoja na umuhimu wa choo, lakini si kila nyumba iliyo na choo au hata zile ambazo zina huduma hiyo, basi vyoo ni vibovu, havina hadhi.

October 10, 2013

Njia kumi kusaidia kupunguza unene

Ni makala muhimu sana. Wastani wa maisha ya Mtanzania ( na Waafrika wengi) hata wale waliosoma au wanaojiweza kiuchumi ni miaka 40-50. Kati ya sababu kuu zinazopunguza uhai wetu ni afya, unene na kutojua kujiangalia vyema afya zetu.

October 9, 2013

Jinsi ya kuongeza uwezekano wa kupata/kuzaa mtoto wa kiume.

Uchaguzi wa jinsia, au kutabiri jinsia ya mtoto atakaezaliwa ni topic yenye mkanganyiko katika kada ya afya hususani uwanja wa matabibu.
Ambapo madaktari na wataalamu wa masuala uzazi, wanawwapinga wakunga wa zamani kwa mujibu wa wao walivyokuwa wanaamini kuhusiana na hii jinsi ya kutabiri.

October 8, 2013

Unywaji pombe kupindukia chanzo cha kutopata / kutosababisha mimba.


tatizo la unywaji pombe kupita kiasi linaongezeka katika jamii kila siku za hivi karibuni na linawahusisha wote, vijana, watu wazima na hata wazee.

October 6, 2013

Imani potofu kuhusu kondomu

Kumekuwa na Imani, misemo tofauti mbalimbali kuhusu kondomu na baadhi yao yamekuwa wakikosa majibu sahihi kuhusu imami hizo zinazohusu Kondom.

Kutoka Hedhi na wakati wa kubalehe

Hapo chini nimeorodhesha maswali yanayoulizwa kwa wingi na mabinti wanaokuwa katika huu umri wa balehe na kutoka hedhi, pamoja na majibu yake sahihi.

Faida za Kujipumzisha mchana.

Uchunguzi mpya umeonyesha kuwa kulala
kidogo wakati wa mchana huimarisha ubongo
na kuimarisha uwezo wa kufahamu mambo
mapya.

October 5, 2013

Ugonjwa wa pumu/asthma


Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa sugu ambao
huathiri njia za hewa ambazo huingiza na
kutoa hewa katika mapafu. Upatapo ugonjwa
wa pumu, kuta za ndani za njia ya hewa
hupata maumivu (inflammation) na kuvimba.

Mambo ya kuzingatia unapotaka kufanya mazoezi

Mazoezi yana umuhimu mkubwa kwa maisha yako endapo utaweza kuyafanya kwa jinsi ipasavyo. Kujua muda wa kula na kitu cha kula kunaweza kukusaidia kupata matokeo tofauti katika ufanyaji wako wa mazoezi.

October 4, 2013

Dalili za mwili KUWA ovulation imewadia

 
OVULATION ni hali ya kutoka kwa yai la kike baada ya kukomaa kutoka kwenye follicle baada ya kukua na kukomaa katika ovary. Hali hii hutokea katika hali ya kawaida katika siku ya 14 katika mzunguko wa siku 28.

October 3, 2013

Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri (vaginal candidiasis)Kati ya maambukizi yanayowasumbua
wanawake wengi duniani ni maambukizi
ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya
wanawake wote duniani hupata
maambukizi haya katika kipindi cha uhai
wao. Maambukizi ya fangasi katika sehemu za
siri za mwanamke husababishwa na
uwepo wa fangasi wanaojulikana
kitaalamu kama Candida albicans.

October 2, 2013

Madhara ya uvutaji wa sigara

MADHARA YA UVUTAJI WA SIGARA
Katika moshi wa sigara, zaidi ya kemikali 400
zimegundulika kuwa na madhara makubwa
katika afya. Mvutaji mdogo hutumia nusu ya
pakiti ya sigara kwa siku na kujikuta akiathiri
mwili wake kwa kemikali hizi mara 3500 kwa
mwaka. Hata hivyo,

Oestradiol: homoni zinazochochea ngono kwa wanawake

Ni ajabu, wala si jambo la kawaida kwa wanawake walio wengi kujikuta katika matamanio, kiasi cha kujikuta wakilazimika kushiriki tendo la ndoa.

October 1, 2013

Madhara ma 5 ya kutumia pamba kusafishia masikio/ ear stick

1. Kwanza husukuma ndani zaidi uchafu
 sikioni(ear wax),ule utando unaotoka ndani
ya sikio.
Unapochokonoa sikio kwa pamba huupeleka
uchafu kuingia ndani zaidi ya sikio, hii

Matumizi sahihi ya pedi kwa wanawake

Kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa ya mfumo wa mkojo (UTI) na uzazi kwa wanawake, hii inasababishwa na sababu nyingi ikiwemo ya kukosa uelewa sahihi wa kanuni za afya na usafi wa mwili pamoja na mazingira yanayomzunguka mwanamke.

Umuhimu wa mazoezi wakati wa ujauzito

Kufanya mazoezi wakati wa ujauzito kuna
umuhimu mkubwa kwa afya ya mama
mjamzito mwenyewe na mtoto wake
ambaye bado hajazaliwa. Wanawake wengi
wanatambua umuhimu wa kula lishe bora,
kuhudhuria kliniki, kuacha kuvuta sigara na
kunywa pombe wakati wakiwa na mimba.