August 30, 2013

Afya ni nini?

Afya ni hali ya mtu kuwa vizuri kimwili, kiakili na kijamii na sio tu kutokuwa na ugonjwa au udhaifu.' Ufafanuzi huo ulianza kutumika Aprili mwaka 1948 na hadi hii leomaana hiyo ya afya haijabadika.
Share:

Athari ya ukimwi kwa maendeleo Nchini TanzaniaVIFO VITOKANAVYO NA UKIMWI VYA ATHIRI  MAENDELEO NCHINI TANZANIA Nchi nyingi zilizo katika ukanda wa Sahara katika bara la Afrika zimepata mafanikio makubwa katika kukabiliana na HIV lakini baadhi ya nchi za Afrika havijapata mafanikio makubwa.
Share:

August 29, 2013

Lishe kwa wanaoishi na ukimwi+

Tatizo la VVU/UKIMWI linaendelea kuwa tishio kwa maisha ya binadamu. Pamoja
na jitihada mbalimbali za kitabibu, imeonekana kuwa watu wengi wanaoishi na
virusi vya UKIMWI (VVU) au UKIMWI huathirika au hupoteza maisha yao
mapema zaidi kwa kukosa lishe bora.
Share:

August 28, 2013

Elimu ya chakula na lishe
Chakula na lishe bora ni muhimu kwa binadamu wote. Chakula ni kitu chochote
kinacholiwa na kuupatia mwili virutubishi; ambapo
lishe ni sayansi ya jinsi mwili unavyokitumia chakula. Lishe inahusisha jinsi mwili unavyosaga na unavyoyeyusha
chakula na hatimaye virutubishi kusharabiwa (kufyonzwa) na kutumika mwilini.
Share:

August 26, 2013

Mambo Muhimu kuhusu virusi vya ukimwi


Hali ya UKIMWI nchini Tanzania
Mnamo mwaka 1983, watu watatu wenye UKIMWI waligundulika katika mkoa mmoja
na ilipofika mwaka 1986 mikoa yote Tanzania bara ilishatoa ripoti za kuwepo kwa
wagonjwa wa UKIMWI. Hali inaendelea kuwa mbaya kwani idadi ya watu wanaoishi
na virusi vya UKIMWI na wenye UKIMWI inaongezeka kila mwaka.
Share:

August 23, 2013

August 20, 2013

Usafi na usalama wa chakula na maji


Chakula na maji vinaweza kuwa miongoni mwa vyanzo vya maambukizo mbalimbali
ikiwa usafi na usalama wake hauzingatiwi. Ili chakula na maji viwe safi na salama ni
muhimu kuzingatia usafi wa mtayarishaji wa chakula, vyombo, sehemu ya kutayarishia
chakula, chakula chenyewe na maji ya kunywa.

Share:

August 18, 2013

August 16, 2013

Jinsi ya kumlisha mtoto aliyezaliwa na mama mwenye virusi vya ukimwi

Uambukizo wa virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
Kwa kawaida sio wanawake wote wenye virusi vya UKIMWI huwaambukiza watoto
wao. Inakadiriwa kuwa kiasi cha asilimia 60 hadi 70 ya watoto wanaozaliwa na
wanawake wenye virusi vya UKIMWI hawaambukizwi kabisa hata kama hakuna hatua
zozote zilizochukuliwa kupunguza uwezekano wa uambukizo
Share:

August 15, 2013

August 11, 2013

Lishe kwa wanaoishi na ukimwi
Tatizo la VVU/UKIMWI linaendelea kuwa tishio kwa maisha ya binadamu. Pamoja
na jitihada mbalimbali za kitabibu, imeonekana kuwa watu wengi wanaoishi na
virusi vya UKIMWI (VVU) au UKIMWI huathirika au hupoteza maisha yao
mapema zaidi kwa kukosa lishe bora.
Share:

August 10, 2013

Uhusiano wa vyakula na afya zetu

Wapenzi wasomaji na wafatiliaji wa Makala
zangu katiba blog yangu hii ya manyandahealthy ni
matumaini yangu kuwa hamjambo na
karibuni. Lengo langu  kuu ni kujadili
masuala mbalimbali yatakayotupa

Share:

August 9, 2013

August 7, 2013

August 6, 2013

Msaidie mtoto kuchagua vyakula

MOJA kati ya mambo makubwa ambayo
mzazi anapambana nayo katika kazi ya
malezi ni namna mtoto anavyokula. Kuna
matatizo mengi katika hili.

Share:

August 4, 2013

Umuhimu wa maziwa kwa WanamichezoMaziwa ni kiowevu cheupe kinachotolewa na majike wa mamalia kama lishe kwa ajili ya watoto wao. Wanyama wadogo hulishwa kwa maziwa katika miezi ya kwanza ya maisha yao hadi kuzoea chakula cha kawaida. Nje ya lishe ya wanyama  wachanga maziwa hutumiwa na wanadamu kama kinywaji na chakula
Share:

Faida azipatazo mama anayenyonyesha mtoto

Shirika la afya duniani (WHO) linasisitiza mama kumnyonyesha mtoto kwa kipindi cha miezi sita bila kumwanzishia vyakula vingine.
WHO inaelekeza kuwa baada ya miezi sita mama anaweza kumwanzishia vyakula vyingine motto wake huku akiendelea kunyonya maziwa ya mama angalau mpaka atakapofikia umri wa miaka miwili au ziadi.
Share:

August 3, 2013

Njia na Hatua sahihi za uoshaji mikono.

Uoshaji wa mikono ni njia rahisi sana na inaweza kuwa ni njia moja wapo ya kuzuia kuenea kwa magonjwa ya aina mbalimbali mengi na kuumwa pia katika maeneo mbalimbali tunayoishi.
Share:

August 1, 2013