June 28, 2013

Njia za uzazi wa Mpango


Uzazi wa mpango unaruhusu watu kufikia idadi yao ya watoto wanaotaka  na kuamua nafasi ya mimba moja na nyingine. Inakadiriwa wanawake 222,000,000 katika nchi zinazoendelea wangependa kuchelewa au kuacha kuzaa lakini hawatumii njia yoyote ile ya uzazi wa mpango. 
Share:

June 24, 2013

June 21, 2013

Ugonjwa wa Dengue


SIKU chache zilizopita Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii nchini ilitoa taarifa
kuhusu kuwapo ugonjwa wa homa ya
dengue.

Share:

June 20, 2013

Dalili za Ujauzito


Dalili za ujauzito hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, ingawa kuchelewa au kukosa hedhi ni dalili moja muhimu sana Ni muhimu kuzitambua na kuzifahamu dalili hizi kwa sababu zinaweza kusaidia kuelezea au kutofautisha matatizo mengine mbali ya ujauzito.
Share:

June 19, 2013

Vifo vya mama wajawazito

Kila siku, wastani wa wanawake wapatao 800 wanakufa kutokana na sababu zinazozuilika kuhusiana na ujauzito na kujifungua.
Share:

June 17, 2013

June 16, 2013

Vidonda vya tumbo

UGONJWA wa vidonda vya tumbo unatokana
na kumomonyoka au kutoboka kwa tabaka
la juu la tumbo au utumbo.

Share:

June 15, 2013

Chanzo cha ugonjwa wa kifua kikuu.

Ugonjwa wa kifua kikuu ni kati ya magonjwa matatu yanayotokea sana kwa watu masikini duniani (Disease of poverty). Magonjwa mengine katika jamii ya disease of poverty ni malaria na Ukimwi (AIDS).
Share:

June 12, 2013

June 11, 2013

Tatizo la ugonjwa wa Malaria.

Malaria ni ugonjwa unaoathiri watu wengi duniani ikiwamo Tanzania.  Ugonjwa huo husababisha vifo vya watu milioni 2.7 kote duniani, ambapo vifo vingi hutokea barani Afrika.
Share:

June 7, 2013

June 6, 2013

June 5, 2013

Mapambano ya ukimwi tukabili vvu

MAPAMBANO YA UKIMWI
Tukabili VVU na Ukimwi
kwa kupima, kubadili
tabia

ELIMU ya Virusi Vya Ukimwi
(VVU) na Upungufu wa Kinga
Mwilini (Ukimwi) imeenea kila
kona ya nchi na duniani kote.

Share:

June 4, 2013

Magonjwa ya ngono na vijana


Kijana anapaswa kufahamu nini kuhusu magonjwa ya ngono? Magonjwa ya ngono huambukiza kwa njia ya kujamiiana na mtu aliyeambukizwa magonjwa hayo bila kutumia kondomu. Magonjwa haya huweza kuwapata watu wa rika na jinsi zote, hususan walio katika umri kati ya miaka 15 na 49.
Share: