Breaking News

May 30, 2013

Ugonjwa wa nimonia inayotokana na corona virus

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
imepokea taarifa kutoka Shirika la
Afya Duniani (WHO) mnamo tarehe
22 Mei 2013, kuhusu kuwepo kwa
ugonjwa wa Nimonia

May 29, 2013

Chupa zilizotumika zinavyohatarisha afya za watumiaji

Maisha ya wakazi wa mijini na majijini na maeneo mengine yanayokuwa na hata vijijini yapo hatarini kiafya,

May 28, 2013

Madhara ya Lipstiki, lipshine zenye madini ya sumu kwa afya.

Wanawake hupenda kuonekana nadhifu siku zote na katika kufanya hivyo wanatumia vitu mbalimbali vikiwamo rangi za aina mbalimbali ambazo baadhi yake hupakwa katika miili yao ikiwamo midomo

Faida za wanaume kuongozana na wake zao kliniki.

Kuna dhana  imejengeka nchini  miongoni mwa wanaume kwamba ni wanawake pekee ndio wenye wajibu wa kuhudhuria kliniki wakati wa ujauzito na  baada ya kujifungua.

May 25, 2013

Jifunze kumpa mtoto wako lishe bora.

Kiafrika Familia hukamilika pale wanandoa wanapopata mtoto au watoto na furaha huitawala nyumba.
Watoto hupendeza na kua na afya nzuri na wenye furaha pale wanapokula vizuri wakashiba  na wakapata usingizi wakutosha

May 24, 2013

Matumizi ya baking soda (magadi soda) kuzuia magonjwa

Najua wengi mnaifahamu Baking soda au (Bicarbonate of soda) kwa lugha ya Kiswahili huitwa magadi soda.
kwa wale msioifahamu, Baking soda au bicarbonate of soda ni  hitaji la kawaida kabisa jikoni

May 23, 2013

Wakati sahihi wa kumpatia mtoto mchanga maji ya kunywa
Mara nyingi sana nimesikia kinamama wakijadiliana juu ya hili na kubadilishana uzoefu. Ingawa nimesikia wengi wakiliongelea kinachoshangaza ni kwamba sijawahi kusikia jibu moja ambalo naweza sema

May 20, 2013

Sumu kwenye chakula/ food poisoning.

Maana ya food poisoning/ Sumu ndani ya chakula


Food poisoning ni ugonjwa unaosababishwa na ulaji na unywaji wa chakula chenye  viumbe waharibifu kama vile bacteria,virusi,au vimelea vya maradhi na wakati mwingine husababishwa na kemikali zinazopatikana ndani ya chakula fulaniau  katika samaki na mimea yenye sumu ya asili.

May 17, 2013

Usafi na utunzaji wa meno kwa WatotoUtunzaji wa meno ya watoto
unahitaji uangalizi mkubwa kama
ilivyo kwa watu wazima, na
upuuzaji wa suala hilo unaweza
kuwa na madhara ya muda mrefu
maishani. Hii ndio maana

May 14, 2013

Mambo yanayoharibu afya ya binadamu


Mazingira ni jambo lingine
linaloathiri afya. Iwapo maji
tunayokunywa na kutumia ni safi
na salama, iwapo hewa
tunayovuta si chafu, maeneo

May 13, 2013

Magonjwaya mlipuko wakati wa mvuaMVUA zinaendelea kunyesha
katika maeneo mbalimbali
nchini, na baadhi ya na maeneo haya
Yamekuwa yakikumbwa
mara kadhaa

May 11, 2013

Magari ya kifahari na vyombo vya usafiri viendeshwe kwa tahadhari na wanamichezo

Hakuna ubishi kuwa kwa wanamichezo wanaochipukia na kuwa mahiri katika michezo wanayoshiriki, wengi wao ndoto zao ni kumiliki vyombo vya usafiri vya gharama kubwa vyenye uwezo wa kuwa na kasi ya ajabu kwenye barabara, penginepo kama hali itaendelea kuwa nzuri basi wangependa wamiliki ndege binafsi hata meli.

Jinsi ya kuzuia chunusi na mabaka usoni


Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria.

May 9, 2013

Mambo 7 muhimu kufanya ili uwe na afya bora mwaka huu

Ni wakati wa matazimio mapya. Miongoni mwa maazimio(resolutions) zinazoongoza ni pamoja na ile ya kuishi maisha yaliyo na afya bora zaidi na furaha. Afya na furaha ni mambo mawili makubwa sana katika maisha yetu.Ukichunguza sana takribani kila kitu tunachokifanya ni katika mpambano wa kimaisha wa kuwa na afya bora zaidi na kuwa na furaha.

Viwanja vyetu vya michezo viwe na vyoo bora na mazingira safi.Viwanja vya michezo vilivyopo kote ulimwenguni havina budi kuwa na vyoo bora ikiwa ni pamoja na mazingira ya viwanja hivyo kuwa safi wakati wote.