April 30, 2013

Afya na Usalama Sehemu za Kazi zako

  Ni taratibu za kulinda usalama, afya na ustawi wa watu kushiriki katika kazi au ajira kwa kuzingatia kanuni za afya na usalama mahali pake pa kazi. Malengo ya usalama kazini na mipango ya afya ni pamoja na kuendeleza usalama na afya mazingira kwenye kazi yake. inaweza pia kulinda ushirikiano wafanyakazi, wanafamilia, waajiri, wateja,
Share:

April 29, 2013

Fistula


Miongoni mwa magonjwa ambayo yamekuwa yakisumbuwa akinamama wengi katika jamii ni pamoja na fistula.Kitaalamu fistula ni tundu linatokea
Share:

April 28, 2013

Lehemu (cholesterol) tatizo kwa wanamichezo na jamii


Kwa lugha ya kiingereza lehemu ni cholesterol, kwa kawaida kuna aina mbili za cholestrol low density lipoprotein na high density lipoprotein aina zote mbili zinatokana na uwiano uliopo kati ya kemikali mbili za mafuta zijulikanazo kitaalam kama polyunsaturated fats na monounsaturated fats.
Share:

April 20, 2013

Si kila mwenye kifua kikuu ana maambukizo ya V.V.U


Mgonjwa mmoja, magonjwa mawili
          UKIMWI na kifua kikuu ni magonjwa mawili yanayosababisha vifo vingi, hivyo ni muhimu kuelewa uhusiano uliopo kati ya UKIMWI na Kifua kikuu.
              Virusi vya UKIMWI (V.V.U) Hupunguza kinga ya mwili na kuuacha mwili bila kinga ya kutosha dhidi ya magonjwa mbalimbali ukiwemo ugonjwa wa kifua kikuu.
Share:

April 16, 2013

Kifua kikuu (tb)

Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bacteria na kuenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kifua kikuu akikohoa,
Share:

mimba kutoka

Tatizo la mimba kutoka au kutolewa ni jambo ambalo limewakumba kina mama wengi walio katika umri wa kuzaa. Aidha mijadala kuhusu kuhalalishwa au kuendelea
Share:

April 15, 2013

Mambo ya kuzingatia kabla ya kutoboa/kuchorwa (tattoo) mwili wako

                                                                                                       

Zamani ilikuwa ni kawaida kuona wanawake wanatoboa  masikio, pua, ili kuvaa aina mbalimbali za herini na shemeri. Siku hizi si ajabu kuona wanaume na wanawake wakijitoboa au kuchorwa alama (tattoo) 
Share:

April 14, 2013

April 13, 2013

Tatizo la Ugumba Kwa Mwanaume na Mwanamke

Ugumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiana) bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi kwa muda wa miezi 12 na kutoweza kushika mimba au kupata ujauzito.
Share:

Ugonjwa wa Busha


Mabusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka mbili za utando unaozunguka korodani.
Share:

April 12, 2013

Madawa ya kulevya - aina na athari zake

Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume, wanawake, na vilevile rika zote vijana na wazee pia.

Share:

April 2, 2013

April 1, 2013