December 30, 2013

Madhara ya dawa za za kulevya


 
DUNIA inalia, Tanzania inalia kutokana
na wimbi la biashara ya dawa za
kulevya, ambazo zinaleta madhara
makubwa kwa vijana ambao wengi wao
ndio hutumiwa kusafirisha na ndio pia
watumiaji wa dawa hizo zenye madhara
makubwa kiafya.
Share:

December 25, 2013

December 23, 2013

December 22, 2013

Dalili za VVU kwa watoto wadogo

Maambukizi haya kwa mtoto huweza
kuambatana na magonjwa nyemelezi hatari
kama vile nimonia kali, kifua kikuu, homa za
mara kwa mara, kuharisha sugu, fangasi, na
pia saratani mbalimbali.
Share:

December 21, 2013

Faida ya juisi ya miwa

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi maeneo tofauti tofauti Nchini mwetu na mitaa tofauti tofauti wanaouza juisi ya miwa.
Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa.
Share:

December 20, 2013

December 12, 2013

December 10, 2013

Faida za alo veraMmea wa aloe
vera ukilimwa kwenye rutuba sahihi,
kutunzwa vizuri na kusindikwa kwa
uangalifu huwa na faida nyingi kwani una
vichocheo vinavyoua vimelea vya
magonjwa kama bakteria, virusi na fangasi.
Mtandao wa Mediclinic unaeleza kuwa
Aloevera, 
Share:

December 5, 2013

Chanzo cha Vidonda vya tumbo

Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni
mfumo katika mwili unaohusika na
umeng'enyaji wa chakula mpaka kuwa
katika hali inayoweza kusharabiwa na
mwili.
Share:

December 3, 2013

Ukweli kuhusu kubemenda mtoto!Kuna hili suala linaloitwa 'kubemenda'
mtoto, watu wanadai kuwa sperms huwa
zinaleta madhara kwenye maziwa ya
mama na kumdhoofisha mtoto kiafya na
wengine wanasema ukimshika mtoto
baada ya sex pia ina madhara.
Share:

December 1, 2013

Maana ya siku ya ukimwi dunianiIkiwa leo ni Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukimwi. Sote tunajua kuwa gonjwa hilo bado linawaumiza vichwa wataalamu wa tiba na madaktari duniani kote, kwani bado halijapatiwa dawa mujarabu wala tiba ya uhakika na limeendelea kusababisha mamilioni ya watu kupoteza maisha yao huku wagonjwa wengi wakisumbuliwa na maumivu na matatizo mbalimbali yanayosababishwa na maradhi hayo. 

Share:

Chanzo cha watoto kuzaliwa na mtindio wa ubongo


Ni ajabu kuona wanadamu wanakuwa wabaguzi kwa kiasi hiki kwa sababu  ya maumbile. Mambo mengi yamesemwa kuhusu tatizo la mtindio wa ubongo, hali ambayo imekuwa ikisababisha jamii mbalimbali kuwanyapaa na hata kuwabagua watoto wenye tatizo hilo.
Share:

November 27, 2013

Dawa, kemikali zinavyosababisha watoto kuzaliwa na viungo visivyokamilika


Dawa zinazoleta madhara si zile
zinazotumika mara kwa mara, lakini kwa
bahati mbaya wapo wanawake
wanajigundua kwamba wamebeba ujauzito
na hawa wanajikuta wakitumia dawa hizo
ambazo mwishowe zinawaletea madhara
katika ujauzito na hawezi kugundua mpaka
atakapojifungua japokuwa wapo ambao
mimba zao huharibika.

Share:

Madhara ya utunzaji mbovu wa mswaki

Wengi hawazingatii utunzaji wa kifaa hiki
muhimu katika usafi wetu wa kila siku.
Mswaki wako umejaa vijidudu
visivyoonekana kwa macho (bakteria) hiyo
ni kwa mujibu wa watafiti kutoka Chuo
Kikuu cha Manchester Uingereza.
Share:

November 1, 2013

Ugonjwa wa kisonono (gonorrhea)


Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya
zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya
Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao
hukua na kuzaliana kwa haraka katika
sehemu zenye unyevunyevu na joto
mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa
wanawake (cervix), mirija ya kupitisha
mkojo au shahawa (urethra), mdomoni na
kwenye puru. 
Share:

October 28, 2013

October 27, 2013

October 26, 2013

October 25, 2013

October 22, 2013

Faida za Kitoweo Samaki kiafya

Si wengi wetu wanaofahamu umuhimu wa kula samaki mara kwa mara na jinsi kitoweo hiki kilivyo na umuhimu wa kipekee katika afya ya binadamu
Samaki ni kitoweo ambacho kinatajwa na hata kupendwa na wengi, binadamu au wanyama.

Share:

October 21, 2013

October 20, 2013

October 19, 2013

Madhara ya chumvi za mezani kiafya


Chumvi ni muhimu sana kwa mwili wa mwanadamu kwa kuwa huwa na kiambata kiitwacho sodium ambacho ni muhimu kwa kazi za kimwili. Kikemikali, chumvi imebeba sodium chloride, ndani yake takriban asilimia asilimia 40 kati ya hizo ni sodium.
Share:

October 18, 2013

fahamu ukweli wa vitamini A na minyoo

 VITAMINI A NI NINI?
Vitamini A ni moja wapo ya virutubisho muhimu katika kipindi chote cha masiha ya binadamu. Vitamini A huhitajika mwilini kusaidia macho kuona vizuri, ukuaji na maendeleo ya mtOto na kuimarisha kinga ya mwilini dhidi ya maradhi mbalimbali.
Share:

October 17, 2013

Mambo 10 kuhusu afya ya meno yako.

watu wengi huwa na hofu ya sintofahamu
hasa wanapofikiria kwenda kumwona
daktari wa meno. mambo 10 yafuatayo
yatakusaidia sana kufahamu nini utarajie
unapokwenda kufuata

Share:

Kinga ya mwilini muhimu

Kinga ya mwili ni muhimu sana katika mwili
wa mwanadamu. Inapokuwa sawa
inatusaidia miili yetu kuishi bila magonjwa
yatokanayo na uambukizi wa virusi na
bakteria.

Share:

Tatizo la harufu mbaya ukeni


Tatizo la uchafu ukeni
Leo tutazungumzia tatizo linalowasumbua
wanawake wengi, tatizo la kutokwa na
uchafu unaotoa harufu mbaya sehemu za
siri. Kitaalamu hali ya mwanamke kutokwa
na majimaji yenye rangi nyeupe au ya
njano, 


Share:

October 16, 2013

Tatizo la mimba kuharibika.

Maana ya mimba kuharibika
Sababu, Dalii zake na nini ufanye baada ya mimba kuharibika.
Sikiliza/Soma  ushauri na chukua hatua madhubuti.
Elimika Sasa.

Share:

Tiba/ushauri juu ya fungus


Fungus ya kuwasha sehemu za siri ndio
inayojulikana sana hasa kwa vijana wa kati
ya miaka 15 hadi 35.

TIBA NA USHAURI:
Kwanza,Hakikisha sehemu husika
inakuwa kavu masaa 24.
Share:

Faida za kunywa maji Mengi

Watanzania wengi wameanza kuonekana wamebeba chupa za maji maeneo mengi wakiwa mtaani wakitembea siku hizi. Kiukweli, Maji yanashika nafasi ya pili kama kinywaji pendwa baada ya vinywaji laini hususani soda na juisi.
Share:

October 15, 2013

Ugonjwa Bawasiri


Bawasiri ni neno fasaha la Kiswahili ambalo wengi hawalifahamu, lakini ni vyema katika kukuza lugha yetu kuanza kulizoea na kutumia  neno hili na msamiati wa tiba ambao kitaalam huitwa haemorrhoids au kwa Kiingereza, piles.
Share:

October 14, 2013

Madhara ya choo cha kukaa

Waswahili husema, ‘nyumba ni choo’, wakiwa na maana kuwa nyumba haiwezi kuwa kamili bila kuwa na huduma hiyo ya choo.

Hata hivyo, pamoja na umuhimu wa choo, lakini si kila nyumba iliyo na choo au hata zile ambazo zina huduma hiyo, basi vyoo ni vibovu, havina hadhi.
Share:

October 10, 2013

Njia kumi kusaidia kupunguza unene

Ni makala muhimu sana. Wastani wa maisha ya Mtanzania ( na Waafrika wengi) hata wale waliosoma au wanaojiweza kiuchumi ni miaka 40-50. Kati ya sababu kuu zinazopunguza uhai wetu ni afya, unene na kutojua kujiangalia vyema afya zetu.
Share:

October 9, 2013

Jinsi ya kuongeza uwezekano wa kupata/kuzaa mtoto wa kiume.

Uchaguzi wa jinsia, au kutabiri jinsia ya mtoto atakaezaliwa ni topic yenye mkanganyiko katika kada ya afya hususani uwanja wa matabibu.
Ambapo madaktari na wataalamu wa masuala uzazi, wanawwapinga wakunga wa zamani kwa mujibu wa wao walivyokuwa wanaamini kuhusiana na hii jinsi ya kutabiri.
Share:

October 8, 2013

October 6, 2013

October 5, 2013

Ugonjwa wa pumu/asthma


Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa sugu ambao
huathiri njia za hewa ambazo huingiza na
kutoa hewa katika mapafu. Upatapo ugonjwa
wa pumu, kuta za ndani za njia ya hewa
hupata maumivu (inflammation) na kuvimba.
Share:

October 4, 2013

Dalili za mwili KUWA ovulation imewadia

 
OVULATION ni hali ya kutoka kwa yai la kike baada ya kukomaa kutoka kwenye follicle baada ya kukua na kukomaa katika ovary. Hali hii hutokea katika hali ya kawaida katika siku ya 14 katika mzunguko wa siku 28.
Share: