April 1, 2018

Namna ya Kujikinga usijifungue Mtoto NJITI


Image result for incubator babyMiaka ya karibuni limekuwapo ongezeko la wajawazito kujifungua watoto kabla ya kufikia wakati wake. Takwimu zinaonyesha kila mwaka kuna watoto milioni 15 wanaozaliwa kabla ya wakati. Sehemu kubwa ya waathirika hao wanapatikana kusini mwa jangwa la sahara, ikiwamo Tanzania.
Share:

March 28, 2018

March 27, 2018

Ufanye Nini Kama Umesahau Kumeza Vidonge Vya Majira?


Related image 
Vidonge vya uzazi wa mpango ni miongoni mwa njia za uzazi wa mpango ambazo zinatumiwa na wanawake kuzuia mimba. Vidonge hivi vya kumeza vipo vya aina mbili, ya kwanza huwa imebeba viambata viwili vya vichochezi (hormones) aina ya estrogen na progestin.
Share:

March 23, 2018

Jifunze Namna Ya Kuzungumza Na Daktari Wako


Related image
Kati ya makosa makubwa yanayofanywa na wagonjwa ni kutosema ukweli kwa watoa huduma wa afya. Sababu kubwa ya kutosema ukweli ni kujionea aibu. Mara nyingi wanaona wakisema ukweli kuhusiana na kitu kinachomsumbua ataadhirika.

Share:

October 29, 2016

September 23, 2016

August 3, 2016

Kipimo Cha Mimba Cha Nyumbani

Image result for upt test

Kipimo cha mimba cha nyumbani ni rahisi sana kukitumia wewe mwenyewe kwa wakati wako ikiwa unajihisi umjamzito au kuhisi mwenzi wako ana ujauzito.
Share:

June 4, 2016

Sababu ya Moyo Kupanuka


Moyo kupanuka au kuwa mkubwa ni tatizo ambalo huathiri utendaji wa mfumo wa usambazaji damu mwilini. Ni hali inayosababishwa na ukinzani wa moyo jinsi unavyotoa na kuingiza damu katika mishipa ya moyo na kuelekea sehemu mbalimbali za mwili.
Share:

April 26, 2016

Sababu Za Kuwashwa Baada Ya Kuoga


“Wataalamu wa afya ya ngozi pia wanabainisha kuwa kuoga muda mrefu na mara kwa mara, matumizi ya sabuni zenye harufu kali na povu jingi ni mambo mengine yanayochangia kutokea kwa mzio pamoja na ukavu wa ngozi kutokana na uwezo wake wa kuondosha kiasi kikubwa cha mafuta yanayolinda ngozi.
Share:

January 12, 2016

Mambo Muhimu Ya Uchunguzi Afya Kwa Mwanaume

 
Madaktari huunganisha habari unayotoa kutoka kwenye dalili unazohisi, historia ya maradhi yaliyowahi kukusumbua, uchunguzi wa mwili wako pamoja na kufanyiwa vipimo ili kugundua maradhi au hatari ya kupata maradhi fulani kama kisukari.
Share: